Isaiah 21:14

14 aleteni maji kwa wenye kiu,
ninyi mnaoishi Tema,
leteni chakula kwa ajili ya wakimbizi.
Copyright information for SwhNEN